Wednesday, 13 June 2012

SHUMILETA AVUNJA KIMYA CHAKE!



Jennifer Mwaipaja a.k.a Shumileta

MWIGIZAJI wa long time kunako tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja a.k.a Shumileta amevunja ukimya na kueleza kwamba kukaa kwake pembeni kwenye game hakusababishwi na mtu yeyote ila anajipanga tu.

Akipiga stori na Tollywood Newz, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Shumileta alisema anasikia maneno mengi mitaani ambayo si ya kweli kwa vile yeye ndiye anayejua chanzo cha kukaa kando.

“Ni kweli nimekaa kimya muda mrefu, hakuna maana yoyote zaidi ya kujipanga. Nausoma mchezo kwanza, lakini nimeshangazwa sana na maneno ya watu mitaani eti nimewekwa kinyumba na mwanaume ambaye amenikataza nisiigize. Hayo ni maneno ya kutunga,” alisema…


Jennifer Mwaipaja a.k.a Shumileta.

No comments:

Post a Comment