DIAMOND AKIONYESHA MBWEMBWE ZAKE
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na madansa wake wakati akitumbwiza ishirini na tano na kutumia kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi…
No comments:
Post a Comment